Harmonize ametangaza kukamilika kwa kituo chake cha Redio pamoja na TV, kupitia Insta story yake usiku wa kuamkia leo ameandika kwamba vyombo hivyo (Konde Gang FM & Konde Gang TV) vimekamilika kwa asimilia 100.
HARMONIZE ATANGAZA KONDE GANG FM NA TV ZIMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 100
Reviewed by DJ PAUL24
on
09:07:00
Rating: 5