Breaking News
recent

ENEWZ MAMTONI | Jay Z adaiwa kumdiss Drake kwenye Shining ya Dj Khaled aliyowashirikisha na Beyonce

Kuna maneno yanaendelea mtandaoni kwamba Jay Z amemdiss Drake kwa mafumbo kwenye wimbo wa Dj Khaled ‘Shining’ aliowashirikisha na mkewe, Beyonce.



Kwenye wimbo huo, Jay Z anarap,” I know you ain’t out here talkin’ numbers, right / I know you ain’t out here talkin’ summers, right / I know you ain’t walkin’ ’round talkin’ down / Sayin’ boss shit when you a runner, right?”
Dongo hilo la Jay linaweza kuwa ni jibu kwa diss ya Drake kwenye wimbo Sneakin. Drake alimchana Hov kimafumbo kwenye wimbo huo akiandika, “You ain’t own it right away, you had to wait on niggas / Man, I’m only 29, have some patience with us / Plus I never met nobody from my label, nigga / I just pop up with the music then they pay a nigga.”
Hiyo ilitokana pia na wawili hao kubadilishana madongo kwenye nyimbo zao “I Got The Keys” na “Summer Sixteen.” Kwenye Summer Sixteen, Drake aliweka wazi, “wanna be on Roc-A-Fella then [he] turned into Jay.”
Jay alirudisha majibu kwenye “I Got The Keys,” akirap, “Till you’re on your own you can’t be me.”

No comments:


Powered by Blogger.