Breaking News
recent

MASHABIKI WA DRAKE WAFANYA UHARIBUFU KWENYE NYUMBA AMBAYO KANYE WEST ALIKUA AKIISHI UTOTONI


 Bifu la Drake na Kanye West linaelekea pabaya sasa, mashabiki wa Drizzy wamefikia hatua ya kufanya uharibifu kwenye nyumba ambayo Kanye West alikuwa akiishi na Mama yake mzazi enzi za makuzi yake mjini Chicago, Marekani.


Mabango yenye ujumbe wa matusi na yale ya ku-promote album ya Drake "Certified Lover Boy" yamewekwa nje ya nyumba hiyo ambayo Kanye aliipa heshima wiki hii kwa kuitumia kwenye uwanja wa Soldier Field katika onesho lake la tatu.

No comments:


Powered by Blogger.