ENEWZ AFRICA | Dr. Slaa aliyomtumia Askofu Gwajima Msg ya Whatsapp
Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye alikua Polisi kwa mahojiano kuanzia Alhamisi February 9 2017 kutokana na kutajwa kwenye sakata la dawa za kulevya, amerudi uraiani February 11 na kusema ilivyokua.
Pamoja na kusema kuhusu alichokutana nacho Polisi, Askofu Gwajima ameonyesha msg aliyoandikiwa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa ambaye inaaminika yuko nje ya nchi kwa sasa.
Msg yenyewe imewekwa kwenye ukurasa wa Facebook wa Askofu Gwajima na inasomeka hivi hapa chini
No comments: