ENEWZ MAMTONI | Baada ya Aretha Franklin kutangaza kustaafu muziki, kwa sasa rekodi hii atashikilia Nicki Minaj….
Baada ya msanii mkongwe wa soul Aretha Franklin kutangaza kustaafu muziki, nafasi yake kwenye rekodi kubwa ya billboard imechukuliwa na Nicki Minaj.
Nicki Minaj amechukua nafasi ya kwanza katika orodha ya wasanii wakike wenye nyimbo nyingi zaidi zilizowahi kushika chati kwenye Billboard Hot 100
Aretha Franklin alikuwa na nyimbo 73 na Nicki Minaj 71 ndani ya miaka saba kwenye muziki.
Hii ndio orodha ya wasanii wa kike wenye nyimbo nyingi zaidi kwenye chati za billboard hot 100.
No comments: