Breaking News
recent

Sababu ya Amber Rose kuPost hii picha akiwa mtupu,alichofanya baada ya Instagram Kuifuta…..


Baada ya video model Amber Rose kupost picha akiwa MTUPU ,pamekuwa na maswali mengi sana ya kwanini amefanya hivi……
Staa huyu amesema kitendo hicho amekifanya ili kutangaza maandamano yake mengine maarufu kama SLUTWALK yatakayo fanyika mjini Los Angeles , Marekani.
Maandamano haya yana dhumuni la kuwapa nguvu zaidi Wanawake, usawa wa kijinsia na kupinga tabia za wanawake kulaumiwa kutokana na matatizo wanayokutana nayo kwenye maisha yao.
Picha ya Amber ilifutwa na mtandao wa Instagram ila baadae alikuja kuiweka tena Twitter…..

No comments:


Powered by Blogger.