G NAKO ALIZINGUA KWENYE AROSTO! NISHER.
Director wa video bongo mwenye maskani yake A Town Nisher amefunguka kuhusu ilivyokuwa kwenye video ya Arosto
anasema alikaa na Gnako wakafanya video ya Arosto mwanzoni G aliridhika lakini alipoipeleka kwenye group lake la wadau alikuja kuikataa video nilimuuliza tunafanyaje baada ya hapo akaniambia nisubirie kwanza nikaona bora nikitulize kwanza
Nilichojiskia vibaya Gnako alikuja kufanya video kwa Hanscana nikaona bora tu na Mimi nirelease tu ile niliyoifanya nisipoteze hela yangu ambayo niliwekeza kwenye video ya AROSTO.
Lakini kwasasa mimi na Gnako tupo pouwa sana after all those mbanga zilizotokea.
No comments: