ENEWZ AFRICA | Meneja Rich One azungumzia colabo ya Juma Nature na wasanii Harmo Rapa na Yemi Alade…
Kupitia #PlanetBongoEARadio Rich One ambaye ni meneja wa msanii mkongwe wa rapa,hiphop na bongo fleva Juma Nature ameongelea picha iliyosamba mtandaoni ya Harmo Rapa na msanii wake.
Rich One anasema “Picha na Harmo Rapa, kesho ushishangae Juma Nature yupo na Yemi Alade, sijakuambia tumefanya kazi na Harmo Rapa, kuhusu kujua na kutojua na imani Juma Nature aliwasaidia wasanii wengi tu ambao walikuwa hawajui na sasa wanajua na wana majina makubwa tu, kama mtu ana nia ya kujua Juma ataweza kumuonyesha na akajua, wengi tu Juma aliwasaidia na sasa wana majina makubwa tu kwenye muziki “
Nature akifanya kolabo na Harmorapa itakuwa kali au mizinguo?
No comments: