Breaking News
recent

ENEWZ AFRICA | HAYA SASA, TEKNO AMEAMUA KUONGEZA TABASAMU KWA MASHABIKI ZAKE


Pana na Rara ni moja ya vibao ambavyo vimefanya vizuri sana na kumfanya Tekno kushika chati za juu kibao, Ila Good Newz nyingine ni kwamba Tekno ameamua kuwapa radha nyingine mashabiki zake.
Siku zote kama msanii unastoo kibao zilizojaa ngoma alafu zote unajua zikiachiwa zitakuwa ni Hits Songs, Tekno ameamua kuwaletea ujumbe mzuri mashabiki zake kwa kusema kwamba kila Week atakuwa anaachia ngoma mpya.
Kupitia kurasa yake ya Instagram Tekno Miles aliamua kushare ujumbe na mashabiki zake juu ya ishu nzima ya kuachia ngoma mpya kila wiki, yaani jiwe juu ya jiwe japo hatujajua kama zote zitakuwa ni Hits, ila tunafahamu Tekno huwa hashushi mpira chini hata mara moja pale linapokuja swala la kuachia hits songs.

No comments:


Powered by Blogger.