Breaking News
recent

UDAKU | PICHA YA DIAMOND KUWEKWA MAKAO MAKUU YA TRACE URBAN



Diamond anaendelea kushangaza wengi kwa namna anavyozidi kupasua anga,mbali na kutajwa mara kwa mara kwenye headlines nyingi
Diamond ameingia kwenye headline tena baada ya picha yake kumewekwa makao makuu ya kituo cha television maarufu cha trace urban,picha ya Diamond ni moja kati ya picha za mastar wengi wakubwa afrika na duniani kote,wasanii wengine ni wizkid,jay z na wengine wengi
Kupitia ukurasa wa instagram mashabiki wamempongeza diamond kwa hatua hiyo kubwa,mmoja wa mashabiki hao ni Issa Azamkupitia ukurasa wake wa instagram kaandika hivi


https://www.instagram.com/p/BNyENt6j5Fw/

No comments:


Powered by Blogger.