Breaking News
recent

UDAKU | CIARA NA RUSSELL WATHIBITISHA UJIO WA MTOTO WAO WA KWANZA



Siku ya jana ilikuwa siku ya Birthday ya Ciara na alitumia siku hiyo kutangaza ujio wa mtoto wake wa kwanza na mume wake, Russell Wilson.



“On this special Birthday I received an abundance of love from friends and family.. and I’m excited to Finally share one of the Greatest Gifts of All that God could give… 👶🏽🍼💃🏽☺️❤️,” Ciara aliandika kwenye Instagram yake.
Huyu anakuwa mtoto wa pili wa Ciara, wa kwanza alizaa na mchumba wake wa zamani Future.

Dondosha comments


No comments:


Powered by Blogger.