MICHEZO KIMATAIFA | HIZI HAPA TIMU TANO ZILIZOTINGA ROBO FAINALI EFL CUP
Matokeo ya Michezo ya jana.
■Arsenal 2-0 Reading
■Bristol City 1-2 Hull City
■Leeds Utd 2-2 Norwich (Leeds Utd wameshinda kwa penati 3-2 )
■Liverpool 2-1 Tottenham
■Newcastle Utd 6-0 Preston
Michuano hiyo leo inaendelea tena kwa michezo mitatu.
■Southampton Vs Sunderland
■West Ham Vs Chelsea
■Man Utd Vs Man City
No comments: