Breaking News
recent

JE WAJUA | FORBES YAMTEUA RAIS MAGUFULI KUWANIA TUZO HII, INGIA HAPA KUMPIGIA KURA



Rais Dkt John Pombe Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’




Anachuana na watu wengine wanne wakiwemo:
Rais wa Mauritania, Ameenah Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli Madonsela wa Afrika Kusini pamoja na watu wa Rwanda.
Zimebaki siku 22 za kupiga kura. Unaweza
kumpigia kura Rais Magufuli Bonyeza Hapa.
Hadi sasa Rais Magufuli anaongoza kwa asilimia nyingi (73%).
Mwaka huu tuzo hizo zitatolewa jijini Nairobi, Kenya November 17.
Wafuatao ni washindi wa tuzo hiyo miaka ya nyuma
■Mohammed Dewji (Tanzania)– 2015
■Aliko Dangote (Nigeria)– 2014
■Akinwumi Adesina (Nigeria) – 2013
■James Mwangi (Kenya) – 2012
■Sanusi Lamido Sanusi (Nigeria)- 2011


No comments:


Powered by Blogger.