UDAKU | ALBUM YA EMINEM “CURTAIN CALL” IMEINGIA KWENYE REKODI HII
Curtain Call ni moja ya Album za Eminem ambazo zilifanya vizuri sana, 2005 ndio Album hii iliingia sokoni, na ndani ya Curtain Call kuna hits song kibao za Eminem kama “My Name Is”, “The Way I Am”.
Recording Industry Association of America (RIAA), ijumaa ya tarehe 21 iliitangaza Album ya Eminem Curtain Call kwa kuuza kopi milioni 7, Jambo lingine kubwa lilobakia ni kusubiria ujio mpya wa Album ya Eminem ambayo inatarajiwa kutoka soon.
No comments: