Breaking News
recent

REKODI SITA ANAZOSHIKILIA ZUCHU AFRIKA MASHARIKI


Hizi ni rekodi sita ambazo hadi sasa msanii wa Bongo Fleva kutokea WCB Wasafi, Zuchu anazishikilia ukanda wa Afrika Mashariki;

1. Msanii wa kwanza wa kike kufikisha subscribers 100,000 YouTube ndani ya wiki mmoja.

2. Msanii wa kwanza wa kike kupata followers Milioni 1 Instagram ndani ya miezi mitano.

3. Msanii wa kwanza wa kike kufikisha views Milioni 100 YouTube.

4. Msanii wa kwanza wa kike kufikisha subscribers Milioni 1 YouTube ndani ya mwaka mmoja.

5. Msanii wa kwanza wa kike video yake (Sukari) kupata views Milioni 50 YouTube.

6. Msanii wa kwanza wa kike kwa wimbo wake (Sukari) kufikisha streams Milioni 1 kwenye mtandao wa Spotify.
 

No comments:


Powered by Blogger.