Breaking News
recent

Mwana FA aeleza alivyopambana na corona kwa siku 28

Msanii wa muziki Mwana FA amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuugua corona kwa siku 28.
Akizungumza na XXL ya Clouds Fm, FA amedai katika kipindi cha siku hizo alipimwa zaidi ya mara 8 bado anakutwa na corona.

“Nimekaa siku 28 kwenye isolation, nimepimwa mara 8 hadi kupatikana negative, mara zote nilizopimwa nilikuwa napatikana positive na ukipatikana positive wanakaa masaa 72 hadi kukupima tena! Naweza kusema ni kama huyu mdudu alining’ang’ania” -: @MwanaFA

No comments:


Powered by Blogger.