Rihanna awajibu waliomuita kibonge
Msanii wa muziki Rihanna amewajibu watu wanao mkejeli kwa kumuita kibonge nyanya.
Hata hivyo Rihanna ameamua kukata mzizi wa fitina na kuamua kuwajibu kupitia mtandao wa Instagram, kwa kupost picha ya Gucci Mane enzi zake alivyokuwa mnene na ile ya sasa hivi inayomuonyesha amepungua zaidi na kuweka picha ya mdoli akiwa analia.
Moja ya ujumbe ambao ulionekana kumuumiza Rihanna ni ule alioandikiwa na Chris Spagnuolo, unaosomeka, “Is Rihanna Going to Make Being Fat the Hot New Trend? like Rihanna is rocking some new high key thiccness [sic]. And based on what I’ve seen, that means it’s time to worry if you’re not a guy who fancies himself a chubby chaser.”
No comments: