Picha, Harmonize wa WCB katuonyesha mpenzi wake tuliyekuwa tunamskia tu…..
Baada ya Kuachana na mrembo wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper, ilisemekana kuwa WCB super staa Harmonize anampenzi mpya, mzungu , ana pesa, kamnunulia gari Harmonize na anamjengea jumba kubwa huko Madale…..Mhhhh Haya
Hii ndio picha yake kaiweka Harmonize pamoja na Ujumbe …. UJINGA WAKATI WA KWENDA
No comments: