Breaking News
recent

Raymond na Jason Derulo kufanya kolabo?

Je kuna uwezekano tukaiona kolabo ya Raymond na muimbaji Jason Derulo kutoka Marekani?


Wawili hao wamekutana nchini Kenya katika Coke Studio lakini ujumbe aliouandika Ray kupitia mtandao wake wa Instagram ndio umeanza kuzua maswali mengi kwa mashabiki kama kuna uwezekano wa wawili hao kufanya ngoma ya pamoja.
“God Is good all the time. With My Brother @jasonderulo Get ready for something ðŸ”¥ðŸ”¥ðŸ”¥ #Ipickrayvanny #BETAwards2017 #cokestudioafrica #WCBFORLIFE,” ameandika hitmaker huyo wa Zezeta kupitia mtandao huo.”

No comments:


Powered by Blogger.