Breaking News
recent

Picha ya utupu ya Amber Rose yafutwa


Mtandao wa kijamii wa Instagram wenye watumiaji zaidi ya milioni 500 duniani umefuta picha ya utupu ya mwanamitindo Amber Rose.


Picha hiyo ambayo Amber aliiweka kwenye mtandao huo, ilifutwa kutokana na kukosa maadili. Mara nyingi mtandao huo huziondoa picha ambazo zinaripotiwa kutokuwa na maadili.
Baada ya kufutwa picha hiyo ya utupu ambayo imewatoa udenda vidume wengi mitandaoni, Amber ameandika ujumbe mwingine kwenye mtandao huo unaoonyesha masikitiko yake baada ya kufutiwa picha hiyo huku mashabiki wakimuunga mkono kwa kitendo hicho.

“When IG deletes ur fire ass feminist post but you really don’t give a fuck because everyone picked it up already #amberroseslutwalk #bringbackthebush 😍,” ameandika mrembo huyo kwenye picha hiyo hapo juu.
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki wakimuunga mkono Amber Rose.
mosebjadi_d@lesliefinesse3: stop telling feminists what to do and what not to do.
k.mad:I knew they were going to delete it fuck them
isaacaboagye5:May I join you
laratrv:💓💓
dalanez:So hot
bonniielynn:I got the screenshot boo, fire af 🔥🔥♥️

golfwangfook
:I love u😘😘

justveeveekins:
I LOVED it

No comments:


Powered by Blogger.