Kipindi cha Mkasi mbioni kurejea?
Ni muda sasa kipindi cha Mkasi hakijaenda hewani, Show hiyo ilikuwa ikisimamiwa na Salama Jabir pamoja na Mubah na John.
Habari njema ni kwamba huenda show hiyo pendwa ikaonekana hivi karibuni. Kupitia Instagram ya mtangazaji maarufu wa kipindi hicho, Salama amepost picha ya saloon ambayo show hiyo hufanyika na kuandika, “Soon Come… In Shaa Allah!”.

No comments: