Amosoul Tz : Aandika Ujumbe Mzito Kuhusu Mashabiki Wake Wa Tabora
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Kutoka Mkoani Tabora Ambaye kwa sasa Anatamba na wimbo wake wa Sio Fungu Langu, Amosoul tz Amewaijia Juu Mashabiki wake wa mkoani Tabora kwa kusema kwamba Asilimia 90 ya wazaliwa wa mkoa wa Tabora hawapendi kuona msanii au mtu yoyote akifanikiwa katika jambo lolote lile la kimaisha.
Kupitia Akaunti yake ya facebook amosoul tz ameandika kuwa
Kupitia Akaunti yake ya facebook amosoul tz ameandika kuwa
"Tabora nimkoa mkubwa sana tena ni mkoa wa ki Historia lakini nimefanya uchunguzi wa kina ili kujua ni kwanini mkoa huu upo nyuma kwa maendeleo nime gundua kwamba asilimia 90 ya wazaliwa wa mkoa huu hawa pendi kuona mtu akifanikiwa katika jambo lolote hivyo wako tayar kutumia juhudi zao kuhakikisha wana kuwa chanzo cha kumfelisha mtu husika katika harakati zake pia ukigundua kuwa hawana wema kwako na ukijitenga mbali nao wana zua mambo kwa kusema Unaringa na ukifeli katka jambo lako wana semaga Tulijua tu hawezi fika popote haaaaaahaaaaahaaaa leo nawathibitishia kuwa Alipangalo MUNGU binadamu utaishia kuumia roho tu"
No comments: