Amber Lulu kuwa bosi
Video Queen kutoka Bongo, Amber Lulu amebainisha yupo mbioni kufungua kampuni yake kwa ajili ya kuwasimamia warembo watakao tumika katika video za wasanii.
Akipiga stori na Clouds Fm, Amber Lulu amesema warembo wao pia atakuwa akiwatumia katika video zake.
“Kwa hiyo mimi nitakuwa bosi wao, kampuni itakuwa na warembo 10, so soon itafunguliwa kwa sababu warembo tayari wapo. Kwa sababu mara nyingi nimeona wasani wanasumbuka, nimekuwa nikipata simu zao wanatafuta mavideo Queen,” ameeleza Amber Lulu.
By Peter Akaro
No comments: