SIPIGI TENA SELFIE MIMI NI BIASHARA.
Muigizaji Emma Watson aliyejizolea sifa nyingi toka akiwa na Umri mdogo wa miaka 10 amesema hawezi tena kupiga Selfie na mashabiki wake kwakuwa sura yake ni mtaji.
Msanii huyo aliyejizolea sifa nyingi kupitia filamu ya Harry Potter amesema kwasasa atakuwa anasaini autograph pamoja na kuchat na mashabiki wake kupitia mitandao sio kupiga nao selfie hataki tena jambo hilo.
Lengo la kufanya hivyo ni kuendelea kukusanya deals kibao za matangazo kutoka kwa makampuni mbalimbali.
Jiulize kwa hapa Bongo ikitokea mastaa wetu wanasema selfie hapana utawachukuliaje?
No comments: