Breaking News
recent

SHAMSA FORD AAMUA KUWASHAURI WADADA WA BONGO MOVIE KUHUSU NDOA


Shamsa Foed ni mmoja kati ya warembo wachache kwenye tasnia ya filamu Tanzania ambao wako katika maisha ya ndoa.
Na kumekuwa na kasumba ya sifa zisizo faa kuwahusu warembo hao kutokana na maisha ambayo wengi wao wanaishi.
Shamsa Ford ameamua kuwapa ushauri wadada hao kuhusu utamu wa maisha ya ndoa na kuwataka na wao waingie kuliko kuendelea kuishi maisha ambayo wanaishi hivi sasa,
 Shamsa Ford amefunguka kwamba waache kusubiri wanaume matajiri kwasababu anaamini kila tajiri alianza kutafuta akiwa na mwanamke wake pembeni.
“Me ninacho washauri waolewe tu, wakimpata mtu anayempenda, kumuheshimu na kumthamini, mwenye akili na kujua kutafuta waolewe tu. Lakini wakikaa kusubiri wanaume matajiri hawapatikani.” ALisema Shamsa Ford.

No comments:


Powered by Blogger.