RIHANNA PAMOJA NA PUMA WAMEUSOGEZA MZIGO MPYA
Rihanna ameamua kutusogezea ujio wa collection yake ya viatu ambayo amepiga kolabo na kampuni ya PUMA.
Fashion hiyo ya “Fenty” imeanza kupewa promo mapema ya kutoa bidhaa zao mtandaoni ili mashabiki waweze kusanukia ni kitu gani ambacho kinapatikana kwenye Collection hiyo, kama baadhi ya collection yake zilizopita za mavazi akiwa na PUMA, Rihanna ametusogezea kazi nyingine ambayo inatarajiwa kuachiwa Mwezi wa 3 tarehe 9 mwaka huu.
No comments: