Lady Gaga ameiteka Internet toka usiku wa kuamkia jana wakati anatumbuiza kwenye fainali za super bowl nchini Marekani ambapo NFL walisema Lady Gaga ameivunja rekodi ambayo mara ya mwisho iliwekwa na marehemu Michael Jackson
Picha zenyewe ndio hizi hapa chini
No comments: