Msanii wa Nigeria, Di’Ja ambaye yupo katika label Marvin Records inayomilikiwa na Don Jazzy, amekuwa msiri sana kwenye jambo zima la kuonesha familia yake. Msanii huyo ambaye jina lake halisi ni Hadiza Blell, aliweka picha hizi kwenye Instagram akiwa na mume wake na mtoto wao kwa mara ya kwanza.
ENEWZ AFRICA | Picha: Di’Ja awaonesha mwanae na mume wake kwa mara ya kwanza
Reviewed by
DJ PAUL24
on
02:58:00
Rating:
5
No comments: