Breaking News
recent

Calisah azawadiwa gari na mpenzi wake mpya Vera Sidika kwa kazi nzuri anayoifanya (+Picha)

Mwanamitindo kutoka Tanzania Calisah ambaye kwa sasa anatoka kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa msanii kutoka nchini Kenya Otile Brown,mwanadada anayejulikana kama Vera Sidika ameweza kumnunulia gari mpenzi wake huyo mpya.


Mapenzi ya wawili hayo yameanza wiki iliyopita baada tu ya Otile Brown kudai kuwa Vera alimuomba hela ya kulipia kodi ya Saluni yake na hadi kufikia kuweka hadi risiti alizotumia wakati anamtumia Vera pesa hizo.
Lakini pia Vera alidai kuwa alikuwa anamuhudumia Otile kila kitu na baada ya muda mchache Otile aliweza kununua gari aina ya Benz kuonesha kuwa hakusaidiwa chochote na Vera Sidika, kwahiyo kitendo cha Vera cha kumnunulia Calisah gari huenda ni jibu kwa Otile.
Calisah kipindi cha yuma alikuwa na mahusiano na Wema Sepetu ingawa waliweza kuachana nae na kwa sasa yuko na Mrembo kutoka Kenya Vera Sidika.

No comments:


Powered by Blogger.