ENEWZ AFRICA | Matatizo yamemfunza – Shamsa Ford
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye
siku za karibuni muwewe alipatwa na maswahibu
na kujikuta chini ya mikono ya polisi kwa tuhuma
za kujihusisha na matumizi au kufanya biashara
ya madawa ya kulevya.
siku za karibuni muwewe alipatwa na maswahibu
na kujikuta chini ya mikono ya polisi kwa tuhuma
za kujihusisha na matumizi au kufanya biashara
ya madawa ya kulevya.
Inawezekana kufuatia matatizo aliyopata muwe
wake, Shamsa Ford amepata kujifunza kuwa siku
zote watu ambao wewe unaweza kuwaona ni
marafiki wakawa ndiyo maadui wakubwa katika
maisha yako. Shamsa Ford anasema muda
mwingine inawezekana mtu ambaye huna hata
muda naye pengine ndiye mwema kwako kuliko
hao unaokuwa nao karibu kila wakati.
“Mtu anayekupenda na mwema kwako ni ngumu
kumjua, ukute hata huwa hakuongeleshi na hana
time na wewe. Ila ukipatwa na shida ndo
utamjua ila wale ambao kutwaa uko nao,
unacheka nao, unawaamini hao ndiyo maadui
zako wa kwanza. Ukidondoka kimaisha au
mkigombana kidogo ndiyo wa kwanza kutangaza
siri zako, kuwa makini na binadamu kwani
binadamu wa sasa hata usipomkosea
atakuadhibu tu” aliandika Shamsa Ford

No comments: