MICHEZO KIMATAIFA | Mamelodi Sundowns washinda taji la klabu bingwa Afrika 2016
Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka South Afrika, imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika 2016 licha ya kufungwa kwa bao 1-0 na wenyeji Zamalek Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria, Misri.
Mamelodi wanavikwa Medali za Dhahabu za ubingwa wa Afrika kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya awali kushinda 3-0 nyumbani, Afrika Kusini.
No comments: