Breaking News
recent

MAN UNITED YAFUZU KLABU BINGWA ULAYA BAADA YA KUBEBA EUROPA LEAGUE KWA MARA YA KWANZA


Kikosi cha Manchester United kimefanikiwa kurejea katika michuano ya klabu bingwa ulaya baada ya kufanikiwa kubebwa ubingwa wa Uefa Europa League baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao2-0 dhidi ya Ajax.
Ushindi huo wa United unaifanya kurejea kwenye michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya klabu baada ya kuikosa kwa muda mrefu sana,kocha Jose mourinho nakuwa ndiye kocha wa kwanza kuiwezesha United kutwaa ubingwa huo.



No comments:


Powered by Blogger.