REMY MA KAMA AMEMPANIA NICKI MINAJ.
Nicki Minaj ameisoma mistari ya bibble vyema na kuielewa ndiyo sababu imemfanya akae kimya kwa Remy Ma na kuamua kutokumjibu chochote mjelajela huyo.
Kama haitoshi Remy Ma amerelease another diss track kwa Barbie Dollie Nicki Minaj, Lakini round hii hakuna mistari konde ila amepiga soft zinazomlenga moja kwa moja Nicki Minaj.
Kwa mbwembwe Remy Ma amejitangaza kuwa ndiye mshindi ndiyo maana Nick amekaa kimya mpaka sasa hajamjibu chochote licha ya mashabiki wa Nicki kumtaka Ajibu mapigo lakini Barbie Nicki yupo zake busy Paris akideal na mambo yake.
Chanzo cha bifu bado hakijafahamika kati ya Remy Ma na Nicki Minaj kuwa tatizo ni nini hasa huenda kuna mwanaume katikati Kama si dili la biashara.
No comments: