FUNKMASTER FLEX AJA NA POVU HILI LINGINE KWA NICKI MINAJ
Dj maarufu wa redio ya Hot 97, Funkmaster Flex ameonesha bado hajatosheka na Nicki Minaj. Flex ameiponda tena verse ya Nicki kwenye wimbo wa Gucci Mane, Make Love.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dj huyo alipost kipande hicho cha video na kuandika.. “Yoooooo??? Rhyming on a plastic air bunny???? Wow! This verse is Dumpster juice marinated in dinosaur piss!!! America this is your queen of rap! Ps. Just calling it as I see it! Just an opinion! @nickiminaj don’t be tight! Just my opinion!”
Kwa muda Flex amekuwa akimshambulia Nicki Minaj na alidaiwa kununua ugomvi wa Nicki Minaj na Remy Ma, baada ya kumchana Nicki kuwa hawezi kuwa malkia wa hip hop kama anavyofikiria wakati hawezi kuandika mashairi ya nyimbo zake.
“Rappers with ghostwriters are entertainers not lyricist!!! They don’t count when u talking bars! #Facts. Rapper with ghostwriters get mad when they get called out because they know there’s a difference! Don’t get mad at me! Be mad at your favorite rapper for lying to u! Stop claiming “King” or “Queen” of rap if u ain’t writing or ready for war! U “King of pop” music!”
No comments: