UDAKU | PICHA: UNAMPA NGAPI JOKATE KWA MUONEKANO HUU MPYA WA NYWELE
Jokate Mwengelo, ‘Jojo’ ni moto wa kuotea mbali, tena sana. Na hasa pale anapopigia mtindo mkali wa nywele lazima awatoe udenda wanaume rijali.
Hivi karibuni aliamua kufanya kile staa wa Barbados, Rihanna alivyofanya kwa kuweka dreads ndefu kichwani, and guess what… mtoto Jojo alitokea chicha ile mbaya. Mtazame mrembo huyo kwenye picha zaidi hapo chini.
Hizi hapa picha hizo..
Mbali na picha hizo, lakini pia nilivutiwa na baadhi ya picha za Christmass mwishoni mwa mwaka jana kutoka kwa mwanadada huyo, yani ni picha ambazo zinaonesha muonekano tofauti tofauti wa nywele.
Nimeona sio mbaya kukusogezea.. kama ulipitwa na picha hizo.
No comments: