Breaking News
recent

BURNA BOY ATEMA SHOMBO BAADA YA KUIJAZA 02 ARENA PEKEE YAKE


 Msanii kutokea Nigeria, Burna Boy amejipiga kifua mara baada ya kuujaza ukumbi wa 02 Arena London, Uingereza hapo jana pekee yake.

-
"Nimeuza tiketi zote 02 Arena pekee yangu, kwa bei niliyotaka, kwa njia niliyotaka. Kamwe usiongee sana, onyesha vitendo" amesema Burna Boy.
-
Ni katika tour yake inayojulikana kama Space Drift, ikumbukwe ukumbi huo una uwezo wa kuchukua watu 20,00 wakiwa wameketi.
-
Burna Boy anazidi kuonyesha ukubwa wa muziki wake barani Afrika na duniani mara baada ya mwaka huu kushinda tuzo ya Grammy na BET ambapo wakali wengine wa Afrika waliambulia patupu mbele yake.
-

No comments:


Powered by Blogger.