Breaking News
recent

Diamond Platnumz; sijawahi kuwa na mahusiano na Hamisa Mobetto.

Katika interview kwenye kipindi cha #XXLCloudsFm Diamond Platnumz amejibu tetesi zilizomzungukwa kwa zaidi ya wiki mbili kuwa amempa ujauzito mwanamitindo maarufu Tanzania Hamisa Mobetto.


Diamond amekanusha kuwahi kuwa na mahusiano na staa huyu nakusema Mimi sijawahi kuwa na mahusiano naye hizi ni stori ambazo kila siku hata mimi nazisikia tu, toka nimeshoot na Hamisa Mobeto wimbo wa Salome, watu wamekua wakituhusisha pamoja, ujauzito wa Hamisa sio wangu, Jamani mwenye mimba si ajitokeze, si unajua hata mtu wake atakuwa anajisikia vibaya

No comments:


Powered by Blogger.