Breaking News
recent

DOGO JANJA AMKINGIA KIFUA MADEE!


Dogo Janja ameamua kununua bifu kati ya Madee na Nay Wa Mitego kwa ku side upande wa Baba yake Madee hilo limeonekana wazi baada ya Msanii huyo ku-tweet kupitia Twitter kwamba waliosema ngoma ya Madee Hela ni mbaya.. je ile yake imeishia wapi? hawana sura za kuuza bali wa kuwaficha ni ngumu.


Ni kitambo washkaji waliozaliwa Manzese waingie kwenye mzozo baada wa kugombea jina la Rais wa Manzese.
Sema kwa muda huu wana nafasi ya kugombea jina Rais wa Kimara sababu ndipo washikaji wamehamishia makazi huko.

No comments:


Powered by Blogger.