Breaking News
recent

‘MORE LIFE’ YA DRAKE IMEIPIKU ALBUM YA ‘VIEWS’


Playlist ya Drake “More Life” tayari imeshapiga hatua kubwa kushinda album ya “Views”.


Ni Wiki sasa tangu kuachiwa kwa playlist hiyo ya “More Life” lakini Drak anazidi kuonyesha kwamba bado ni mbabe kwenye game hii ya muziki, unaambiwa playlist ya “More Life” imeshafikisha streaming milioni 300 duniani kote, lakini kupitia Republic Records imefunguka kwamba “More Life” inatarajiwa kufikisha milioni 600 ya streaming duniani kote.
Silaha kubwa ambayo inazidi kumfikisha hatua kubwa Drake na playlist ya “More Life” ni Beats 1 pamoja na OVO Sound Radio ambavyo vyote vinatajwa kuwa na wasikilizaji wengi ambao ndio moja ya mafanikio makubwa kwa Drake.

No comments:


Powered by Blogger.